pia katika website hii utapata picha, habari,vituko,vimbwanga na vichekesho mpaka choka mwenyewe na dogo zilla'web site like,join in, kupitia facebook na twiter na tagged na teen tz

cm no.0766354356

facebook=golden mabanda/dogo zilla/smile magazne/dogo z

twiter=dogo zilla/dogo zila

blog=wwwrebbeone.blogspot.com

             this is my contacts


huyu ndie mshindi wa school bush 2012 kagera

msanii wa kzazi kipya golden gozbert maarufu kama dogo zilla(Raisi wa ishoo boyz kagera) alie kuwa mshindi wa tano katika shindalo la kusaka vipaji vya wasanii mkoani kagera amefunguka na kusema kuwa"mziki tunaufanya lakini baadhi ya unatulipa baadhi yao autulipi so, we have to be economized kwa hizi money tunazo zipata sio kuuza jina tu"

SWALI:vp! ww shoo nafanyiaga sh, ngapi

DOGO ZILLA:sizidi laki 1 nikiwa nawalipa madancer

SWALI;vp,unaishi na nani pale home!!!!!

DOGO ZILLA: nipo alone

SWALI:vp? kuhusu skendo ya bush kwamba amkulipwa chochote ni kweli!

DOGO ZILLA: Apana sio hivyo joh! tulilipwa na tulisoma pale open wengine ni wazushi tu

             hiii sasa ilikuwa shida kwa wale wanaozusha maneno huyu ni young zilla au rais wa ishoboyz  kagera anapenda sana ukimwita dragon kazi ni kwako!!!!!!!!!!

HAWA ndo WASANII SITA (6) wa BONGO FLEVA WENYE KUHESHIMIKA SANA TANZANIA.

Kutokana na utafiti uliofanywa na timu nzima ya  www.thechoicetz.com, imebaini wasanii 6 upande wa muziki wa kizazi kipya wanaoheshimika sana Tanzani katika jamii.Vigezo vilivyo zingatiwa katika utafiti huu ni pamoja na kutobaini skendo za ajabu ajabu kwa hawa wasanii,pia hutumiwa katika utoaji nasaa mbalimbali katika jamii pia wanajiheshimu katika mambo yao kwa ujumla.
              

Mwanadada JIDE ama binti machozi ameweza kuongelewa sana kama msanii anayeheshimika sana tanzania kutokana na idadi kubwa ya watu walio hojiwa kumtaja yeye kama ndo mwana muziki mwenye kuheshimika sana tanzania kwa upande wa muziki wa kizazi kipya

 

 

 

 

2.PROF J
 
Prof J naye hakuwa nyuma katika kutajwa na idadi kubwa,Prof j kama muhasisi mkubwa wa huu muziki wa kizazi kipya anaheshimika sana kutokana na mchango wake mkubwa katika hii gemu bila ya
kuwa na sifa mbaya zinazo weza kumchafulia heshima yake
Mwanadada JIDE ama binti machozi ameweza kuongelewa sana kama msanii anayeheshimika sana tanzania kutokana na idadi kubwa ya watu walio hojiwa kumtaja yeye kama ndo mwana muziki mwenye kuheshimika sana tanzania kwa upande wa muziki wa kizazi kipya
 
3.FID, Q
 
Huyu ni msanii aliyezungumziwa kuwa ni mpole sana mkinywa na hufanya kazi zake kwa umakini mkubwa,Ni mtu apendaye kufikiri jambo kwa umakini sana kabla ya kulitenda,Pia kazungumziwa sana na idadi kubwa ya walio hojiwa
 
4.A.Y
 
 AY kati ya mchakalikaji mkubwa na mpenda maendeleo katika kazi zake, ni kijana anaye ibeba nembo ya Tanzania katika ngazi ya kimataifa,Kujiheshimu kwake na kuto kuwa na skendo pamoja na kuchakalika kwake kunamfanya aonekane kuwa mtu wa kuigwa kwa vijana wengine.
5.MWANA FA
Binamu ama waweza sema pacha wa A.Y kutokana na kuwa na urafiki wa karibu sana na wa muda mrefu na A.Y.mWANA FA pia katajwa kwa idadi kubwa ya wadau kama mtu anayeheshimika sana nchini hasahasa katika nyanja hii ya muziki wa kizazi kipya.
 
 6. JUMA NATURE
 
Juma Nature ama kiroboto, ni mtu asiye penda makuu pia kazungumziwa kama mtu anayependa kuona watu wote wakiwa sawa na  hapendi kuona manyanyaso kwa watu wengine sababu ya kuto kuwa na uwezo.Wamemtaja kama mtu mwenye nyota ya kupendwa sana na watu kwani yaonyesha anaweza akakaa hata miaka kadhaa bila ya kutoa wimbo wowote ila pindi apandapo tu jukwaani watu hufarijika hata aimbapo nyimbo za zamani.
Imefanyiwa utafiti na kuandaliwa na Timu nzima ya www

 

 

dogo zilla web site ur welcome

kalibu ktk dogo zilla the big talent website ili upate mambo mazur,taarifa za  dogo zilla na vitu mbali mbali

WEMA SEPETU AZIDI KUMPA SHAVU KAJALA MASANJA......

 


Muigizaji na Miss Tanzania wa zamani Wema Sepetu amesema licha ya kumsainisha Kajala Masanja kwenye kampuni yake, hategemei kumfanyisha kazi kurudisha shilingi milioni 13 alizomtolea kwenye hukumu yake.

 
Akiongea kwenye kipindi cha XXL, Wema amesema Kajala atakuwa akifanya kazi zake lakini atakuwa akimlipa kama kawaida. Kwa kuanza Kajala ataigiza kama mhusika mkuu kwenye filamu iitwayo Princess Sasha.
 
“Tutaenda kuishoot nje ya Dar, ninataka kuishoot mandhari fulani hivi kama ya kijijini. Ni mtoto wa mfalme, Kajala ndo atakuwa Princess Sasha, she is going to be the main character, “ alisema Wema.
Kajla
Kwa upande wake Kajala amesema aliamua kujichora tattoo ya jina la Wema kwasababu anamchukulia kama shujaa.
Kajala 3
“Mi naweza kusema nimeichora kuonesha nimeappreciate vipi kitu alichonifanyia , watu wengine wanaichukulia vibaya, wataongea vibaya, lakini mimi najua moyoni mwangu. Sababu nimeona siwezi kumlipa hiyo hela sasa hivi. 
 
Ntamkumbuka siku zote hata chochote kikitokea atabakia kuwa mtu… yaani she is my hero.”

This free website was made using Yola.

No HTML skills required. Build your website in minutes.

Go to www.yola.com and sign up today!

Make a free website with Yola